MATENDO MAKUU YA MUNGU

Biblia imejaa matendo makuu ya Mungu tangu kitabu cha Mwanzo hata Ufunuo:

1. Uumbaji: Mungu aliumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo; tena alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake (Mwanzo 1-2)
2. Alivuruga lugha za wanadamu na kuuvunja mnara wa babeli (Mwanzo 11)
3. Aligharikisha dunia kwa maji na kumwokoa Nuhu kwa wokovu mkuu (Mwanzo 6-9)
4. Aliiteketeza Sodoma na Gomora kwa moto (Mwanzo 19:24
6. Aliwapa Ibrahimu na Sara mtoto wakati wa uzee wao (Mwanzo 21)
Alimtoke Ibrahimu alipokuwa anamtoa Isaka sadaka na kumpa mwanakondoo badala ya Isaka. (Mwanzo 22)
7.

No comments:

Post a Comment

A Strong Marriage vs. A Good Family: Understanding God's Order

In many Christian homes, there is a deep desire to build a good family. Parents work hard to provide for their children, maintain a peaceful...

Powered By Blogger