WASEMAVYO WATUMISHI.....

1. Evangelist Reinhard Bonnke:


"I don't want to have Nobel price for preaching, I don't care for it. I don't want applause  of people but I want one thing 'I want Hell empty and Heaven Full'" The Gospel must be preached as clear as bell, so that people understand and find entrance to the Kingdom of God, JESUS SAVES! JESUS SAVES." When we preach the Gospel, the Gospel happens it becomes an event!


Tafsiri yake: "Sitaki kupata tuzo ya Nobeli kwa kuhubiri kwangu, sijali hilo. Sitaki shangwe na kelele za watu, nataka "Jehanamu iwe tupu na mbingu ijae" Injili ni lazima ihubiriwe kwa ufasaha ili watu waelewe na kuuna mlango wa kuingia kwenye Ufalme wa Mungu, "YESU ANAOKOA! YESU ANAOKOA!" Tunapoihubiri Injili inageuka na kuwa tukio"


2. Evangelist Billy Graham:


Our hope is not in communism, is not in in politics, Our hope is in JESUS CHRIST, THE KINGDOM OF GOD!


Tafsiri yake: Tumaini letu halipo kwenye Ukomunisti, wala kwenye siasa; Tumaini letu lipo kwa YESU KRISTO, UFALME WA MUNGU"


3. Mwl. Christopher Mwakasege:


"Kazi mojawapo ya mtumishi yeyote ... ni kuwakumbusha watu kujua ya kwamba Yesu karibu anarudi ... lazima watu wajue hatutakaa hapa milele. Kuokoka ni kununua tiketi, usije ukanunua tiketi ukadhani umeshafika" 
"Shetani akitaka kukuzuia usiwe mtendaji wa neno anabana akili" 

No comments:

Post a Comment

MWANAUME KWENYE NAFASI YA "MUME"

Mume ni mwanaume aliyeoa kwa kuzingatia vigezo na taratibu za kijamii, kishria na za kiroho. Mume si rafiki wa kiume (boyfriend), hawara, wa...

Powered By Blogger